Loretta Harmes alikuwa hajawahi kula kwa miaka sita, lakini hajapoteza ari yake ya kupika. Hawezi hata kuonja chakula chake alichopika mwenyewe, lakini bado anapata wafuasi kwenye mtandao wa Instagram ...