Chama tawala cha Prosperity Party (PP) nchini Ethiopia kinatarajiwa kupata ushindi mkubwa mara matokeo ya uchaguzi yatakapotangazwa rasmi. Karibu watu milioni 50 walijiandikisha kupiga kura katika uch ...
Bola Ahmed Tinubu ametangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais nchini Nigeria uliokuwa na ushindani mkali lakini wengi, vikiwemo vyama vya upinzani, wamedai kuwa kura hiyo ilivurugwa na udanganyifu.
Mgombea wa Urais wa chama tawala nchini Nigeria, Bola Tinubu anaongoza kwa kura katika majimbo 20 kati ya 36 nchini Nigeria. Matokeo hayo ya awali ni kwa mujibu wa matokeo ya awali yaliokusanywa na ...
IRINGA: Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mdogo wa ubunge wa Jimbo la Ismani, Emmanuela Mtatifikolo, ...
Matokeo ya uchaguzi wa wabunge wa kitaifa na mikoa yanasubiriwa kwa hamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Tume huru ya Kitaifa ya Uchaguzi (CENI) ilipaswa kutangaza matokeo ya uchaguzi wiki ...
Kwa mara nyingine, Waziri wa Elimu, Dkt. Fred Matiang'i, ametangaza matokeo ya mtihani wa kitaifa mapema mno tofauti na miaka ya awali, tena kwa kushtukizia - bila ufahamu wa wengi kuwa yangetangazwa ...
Mamlaka ya Uchaguzi (ANE) nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, imetangaza matokeo ya awali ya uchaguzi wa urais wa Desemba 28 usiku wa Jumatatu, Januari 5, kuamkia Jumanne, Januari 6. Faustin-Archange ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results