SERIKALI juzi imezindua Mpango wa ushirikiano baina ya waajiri, vyuo vya elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi na taasisi za elimu ya juu, ambao imesema ni wa lazima ili stadi zinazozalishwa ziwi ...
Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali Dkt. Charles Kichere wiki hii alisoma taarifa ya ukaguzi mbele ya waandishi wa habari jijini Dodoma yalipo makao makuu ya nchi ya Tanzania. Katika ...